Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na Watoto wawili juu ya gari wakiwapungia mkono Wananchi wa Songea mara baada ya kufunga Tamasha la Tatu la Utamaduni la Kitaifa lililofanyika katika uwanja wa Majimaji mkoani Songea hii leo Septemba 23, 2024.

Ziara ya kikazi Ruvuma: Rais Samia awasili Songea
Watu wema wanaitamani mitutu - Muliro