Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Maelfu ya Wananchi wa Kata ya Litola Wilaya ya Namtumbo waliofurika Barabarani kumlaki wakati wa Ziara yake Mkoani Ruvuma hii leo September 26, 2024.

Mikopo: Wanawake washirikisheni wenza wenu
Mabula: Maafisa Utalii uzeni vivutio bila mipaka