Knockout ya Mama imefanyakazi ambapo Mtanzania Mchanja Yohana ameibuka na ushindi wa pointi kwenye pambano la raundi nane baada ya kumchapa Bondia kutoka Ghana Michael Aban.

Baada ya ushindi huo, Mchanja ameondoka na Milioni 1.5 ya KnoKout ya Mama huku Mkuu wa Mkoa Albert Chalamila akimwongeza shilingi milioni moja kama zawadi.

#Knockoutyamama.

Mastar Bongo Fleva, Filamu waipamba Knockout ya Mama
Knockout ya Mama: Nampepeche aula Milioni tatu kwa KO