Mastaa wa Muziki wa Bongo Fleva Alikiba pamoja na Dully Syksee na mastaa wa filamu Ray Kigosi, Irene Uwoya na Chuchu Hans ni sehemu ya watu maarufu waliojitokeza ndani ya Ukumbi wa City Centra Hall usiku huu wa leo kujionea ngumi kali za #KNOCKOUTYAMAMA.

Knockout ya mama: Amiri aipaisha Bendera ya Taifa
Pointi zampa Mchanja Milioni 1.5 za Knockout ya Mama