Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki zoezi la Uandikishaji kwenye Daftari la Wapiga kura kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Kitongoji cha Sokoine, Chamwino Mkoani Dodoma hii leo Oktoba 11, 2024.

Picha: Dkt. Biteko ajiandikisha kwenye Daftari la Wapiga Kura
Maisha: Dawa ya Bosi anayechelewesha Mshahara