Picha: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko akiwa kwenye foleni ya kujiandikisha katika Daftari la Wapiga Kura katika Kituo cha Kujiandikisha cha Shule ya Msingi Bulangwa kilichopo Wilaya ya Bukombe, Mkoa wa Geita hii leo Oktoba 11, 2024 ikiwa ni maandalizi ya kushiriki Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Novemba 27, 2024.

Malimwengu: Siku ya Kitaifa ya kutafuta ujauzito
Picha: Rais Samia akishiriki zoezi Uandikishaji Daftari la Wapiga kura