Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Kiongozi wa mbio hizo mwaka 2024, Godfrey Mzava kwenye hafla ya kilele cha mbio hizo Uwanja wa CCM Kirumba Mkoani Mwanza hii leo Oktoba 14, 2024.

Habari kuu kwenye Magazeti ya leo Oktoba 17, 2024
Taarifa kuhusu risiti za vifo, ushirikina ni uzushi - Masejo