Watahiniwa 974,229 kati ya Wanafunzi 1,230,774 waliosajiliwa kufanya mtihani wa darasa la nne wamefaulu kwa kupata madaraja A, B na C.

Hayo yamejiri kufuatia Baraza la Mitihani la Tanzania – NECTA, kutangaza matokeo ya Darasa la Saba kwa mwaka 2024.

Katibu Mtendaji Baraza la Mitihani Taifa – NECTA, Dkt. Said Mohamed amesema kwa mwaka wa masomo wa 2024, ufaulu wa jumla umepanda kwa asilimia 0.29 na kufikia asilimia 80.87 kutoka asilimia 80.58 mwaka 2023.

TANZIA: Pumzika kwa amani Jenerali Musuguri
Kuna watu wanawajali, msijihisi wapweke - Simon