Kwa majina naitwa Luka Onyango, nilikutana na mwanamke mmoja tukaanzisha mahusiano ila kwa upande wangu, nilikua nachepuka tu sababu nilikua tayari nna mke. Yeye aliniambia hana mtu na aliyekuwa nae hayupo yuko nje ya nchi.
Baada ya muda alipata ujauzito, na nikakubali tuzae japo kwa siri mke wangu asijue. Lakini mimba ilivyofika kama miezi saba, ghafla yule mwanamke akapotea kwenye maisha yangu. Namba akabadilisha hata alipokua anakaa akahama, ilinishangaza mno.
Kilipita kipindi kirefu bila kuonana naye hadi kuwa na wasiwasi mkubwa. Kuna rafiki yangu nilimueleza mkasa huo, naye akanishauri niende kwa Dr Bokko nikafanyiwe tambiko. Kama kuna lolote baya linaendelea au limeshakwisha kufanyika, basi nitajua.
Nilifanya kama nilivyoshauriwa, mtaalamu huyo wa wa tiba asilia alinifanyia uchawi wa mapenzi na kusema ndilo suluhisho la tatizo langu na kusema ndani ya muda sio mrefu nitajua mbivu na mbichi.
Baada ya siku mbili niliona namba mpya inaita katika simu yangu, kupokea kumbe na yule mwanamke. Nikamuuliza vipi mbona umenikimbia?, ndipo akanipa mkasa wa ajabu sana.
Aliniambia kuwa mimba ilivyofika miezi saba, alihama clinic akaanza kwenda clinic katika hospitali kubwa maana alipokua akihudhuria clinic ilikua hospitali ndogo.
Jambo la kushangaza ni kwamba, alipoanza clinic huku hospitali ingine akaambiwa mbona wewe huna mimba. Ultrasound haionyeshi mtoto tumboni kwako.
Alisema lilikua jambo la kushangaza ikabidi awapelekee kadi ya clinic aliyokua anakwenda na taarifa zote zikawa zinaonyesha kweli ni mjamzito. Sasa wakawa wanajiuliza nini kimetokea ila tumbo bado ni kubwa kabisa kama mjamzito.
Aliitwa sheikh kuja kumfanyia dua, zilifanywa dua za kila aina ila hakuna kitu. Akapelekwa hospitali nyingine kwa ajili ya upasuaji ila hapakua na mtoto, ni uchafu uchafu tu mwingi ambao hauonyeshi dalili ya kwamba kilikua kiumbe kabla.
Kusema kweli baada ya kunieleza jambo hilo niliishiwa nguvu kabisa na kushindwa kujua kipi cha kufanya. Sikuweza kuzungumza naye tena. Hata hivyo, kuna kitu kilikuwa kinaniambia nafsini mwangu kwamba huyu mwanamke kanidanganya.
Kumbe yule mwanamke alikua ameolewa na mume wake wa ndoa alikua nje ya nchi kwa kipindi tunaanzisha mahusiano yetu. Lakini kinachonishangaza ni kwamba, ndoa yao inaendelea kama kawaida.
Mtoto alizaliwa amefanana na mimi kila kitu yani ukimuona huulizi. Yule Baba ambae ndo kapewa huyu mtoto hajafanana nae hata chembe yaani ni vitu viwili tofauti.
Kuna muda najiuliza kwani ina maana huyu jamaa haoni kabisa kwamba huyu mtoto sio wake? Au walikua na matatizo ya mtoto akamruhusu mke wake akatafute mimba?.
Maswali kichwani hayaniishi! Nashindwa kumdai mtoto kwa nguvu kwa sababu nitamuambia nini mke wangu? Ila nachojua ile ni damu yangu na hata huko mbeleni, maisha yatatuweka kwenye ukurasa mmoja. Ila asante Dr Bokko kwa kunionyesha ukweli huo.
Mpigie Dr Bokko kwa namba +255618536050 ili kupata huduma ya changamoto yoyote unayokutatiza maishani mwako, hakuna sababu ya kuishi kwa mateso.