Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi na mabadiliko ya Viongozi mbalimbali.

Taarifa iliyotolewa hii leo Desemba 8, 2024 na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Dkt. Moses Kusiluka, imeeleza kuwa uteuzi na mabadiliko ya viongozi hao ni kama ifuatavyo:

Uteuzi: Msigwa Katibu Mkuu, Msemaji wa Serikali
Rais wa Syria akimbia Nchi, Waasi wateka miji