Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Gerson Msigwa kuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali.

Msigwa ameongezewa jukumu la Usemaji Mkuu wa Serikali akichukua nafasi ya Thobias Makoba aliyekuwa Msemaji Mkuu wa Serikali ambaye ameteuliwa kuwa Balozi na natarajia kupangiwa kituo cha kazi.

должностной сайт а также зеркало 1win
Rais Samia ateuwa, afanya mabadiliko ya Viongozi