Naitwa Ally kutoka Tanga, Tanzania, nakumbuka kuna siku tulikuwa safari tunaenda kijiji kimoja kikazi, bahati nzuri nilikuwa na Boss wangu.
Baada ya safari ndefu njiani tulikutana na mzee mmoja ambaye alisimamisha gari na kuomba lift.
Kwakuwa gari lenyewe lilikuwa la taasisi na mimi nipo na Boss, nilimwambia mzee asome maneno yaliyopo pembeni ya mlango wangu letu.
Yale maneno yalisomeka hivi “no passenger allowed”, mzee alitabasamu na kuniambia hajui kusoma Kiingereza, Boss wangu ikabidi aingilie na kusema hutubebi abiria gari hii.
Mzee alitabasamu kisha akasema “haina shida wanangu”, basi i ikabidi tuendelee na safari, kusogea kidogo gari likaanza kusumbua na likazima kabisa, yule mzee taratibu alitupita.
Alivyopita tu gari likawaka ila baada ya kumpita mzee na kutembea mwendo kidogo gari likazima tena, wakati tunaangaika nalo mzee alitukuta tena, safari hii alitumbia, “wanangu msijali tutafika wote sawa” huku taratibu akiendelea na safari yake.
Ikabidi tuangaliane na Boss wangu, sura ya Boss iliashiria kuniambia kitu, fasta nikajiongeza kabla mzee hajafika mbali na kumuomba atusamehe.
Boss wangu nae akaongeza nguvu tukaanza kujieleza pale kuwa hili gari la ofisi na hatutakiwi kubeba abiria ila haina shida mzee anaweza kupanda tu.
Hata hakuleta shida sana, baada ya dakika chache tulikuwa kwenye gari tukiendelea na safari yetu, cha ajabu gari halikusumbua tena mpaka tunafika.
Wakati tunarudi baada ya siku mbili tulikutana tena yule mzee katika eneo lile, kumbe ni mazingira ya nyumbani kwake, tulimuhoji maswali kadhaa kwanini ilikuwa vile hadi gari letu kusumbua kisa yeye.
Yule mzee alituambia yeye ana nguvu za mamlaka alizopewa na Dr Bokko kwa miaka mingi, hizo humsaidia kwenye mambo mengi, ikitokea mtu amemuibia kitu chake au kumdhulumu, basi mtu huyo atakirudisha mwenyewe bila kupenda.
Mzee akasema Dr Bokko wamempa nguvu za kujua wabaya wake na kukabiliana nao, kujua watu wabaya wanaokuja kwake hata wakija kwa sura za wema n.k.
Tangu siku ile nimekuwa nikiheshimu sana wazee na watu ambao siwajui kiundani maisha yao, ni kitu cha kushangaza sana.
Pia Dr Bokko anatibu magonjwa kama kisukari, msukumo wa damu (BP), upungufu wa nguvu za kiume, miguu kuwaka moto n.k, pia anaweza kuisadia biashara yako kunawiri, na huduma zote hizi unaweza kuzipata bila kufika ofisini kwake. Mpigie kwa namba +255618536050.