Jina langu naitwa Dulla kutokea Dar es Salaam nchini Tanzania, nilikuwa na tabia baada ya kulewa natafuta mwanamke changudoa naenda kulala naye, ulikuwa ni mtindo wangu wa maisha kwa miaka mingi tu.
Nakumbuka siku moja baada ya kupiga tungi maeneo ya Kirumba, alipita dada poa mmoja nikamuita, alipofika tukaelewana kwenda kumalizana kwa Sh50,000, basi tukaanza kunywa na kulewa, tulipomaliza tukaenda kulala.
Kwa kuwa nilikua nimelewa sana nilipofika ndani tu nikapitiwa na usingizi, kuja kushtuka ni asubuhi tayari na yule mwanamke ameiba pesa zangu zaidi ya Sh800,000, simu yangu, kadi ya benki na vitambulisho vyangu vya kazini na vingine vya muhimu.
Hakuniachia hata fedha ya kulipa katika nyumba ile ya wageni, nilichanyikiwa ukizingatia simu yangu ilikuwa ina vitu vyangu vingi vya muhimu.
Nilianza kumtafuta yule dada maeneo yale tuliyokutana kwa zaidi ya miezi miwili lakini sikufanikiwa kumpata kabisa, kuna jamaa yangu akaja kuniambia kuna mtalaamu wa tiba asilia anaitwa Dr Bokko anaweza kunisaidia.
Akanipatia namba zake, nami muda huo huo nikaruka hewani na kuzungumza naye, basi akanifanyia ganga ganga zake na kunihakikishia vitu vyangu vyote vitapatikana.
Baada ya siku mbili nikiwa sehemu ile ile nakunywa nilimuona tena yule mwanamke anapita, nikamuita, alikua ameshanisahau hivyo alijua ni mteja mpya.
Alivyofika tu nikamshikilia nkamuambia anilipe vitu vyangu, ila alikataa katakata na kusema hakuchukua.
Kwa kua nilikua na uhakika ni yeye, nilimnyang’anya kila alichokua nacho na kumtishia kumpeleka polisi.
Ndipo akakubali akasema ni kweli alichukua, akapiga simu kwa rafiki yake mmoja na kuvileta vitu vyangu vyote na fedha zangu.
Tangu siku hiyo nimekula kiapo kuwa sitakuja kununua tena changudoa!.
Pia Dr Bokko anatoa huduma kama kusafisha nyota, kusuluhisha migororo ya ndoa, mahusiano, mapenzi na familia, kumfunga mume au mke asitoke nje ya ndoa, anatoa tiba kwa wanaotafuta watoto. Mpigie kwa namba +255618536050.