Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewaapisha Majaji wa Mahakama ya Rufani Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma.

Majaji hao walioapa hii leo Januari 22, 2025 ni-

i. Jaji George Mcheche Masaju,

ii. Jaji Dkt. Ubena John Agatho,

iii. Jaji Dkt. Deo John Nangela,

iv. Jaji Latifa Alhinai Mansoor.

Majaji wa Mahakama ya Rufani wakila Kiapo cha Maadili kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma hii leo Januari 22, 2025.

Walipa Kodi Bora kuneemeshwa na Rais Samia
Hizi hapa rekodi zilizowekwa na Yanga Ligi ya Mabingwa Afrika