Baraza la Mitihani Nchini – NECTA, limetangaza matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Nne, uliofanyika Novemba 11 – 29, 2024.

Matokeo hayo yametolewa hii leo  Januari 23, 2025 na Katibu Mtendaji wa NECTA, Dk. Said Mohammed na yanapatikana kupitia tovuti rasmi ya NECTA.

waweza kuyatazama kwa kupitia Google kwa link hii

https://matokeo.necta.go.tz/results/2024/csee/CSEE2024/CSEE2024.htm

 

 

Katambi ataka majina ya Watumishi wanaowakwamisha Walimu
Elimu: Watoto wenye sifa wapelekwe Shule - DC Mtatiro