PICHA:
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Katika Matukio tofautitofauti aliposhiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini kwa mwaka 2025 yaliyofanyika Viwanja vya Chinangali Mkoani Dodoma leo February 3, 2025.
Maadhimisho hayo yanaongozwa na kaulimbiu isemayo, “Nafasi ya Taasisi zinazosimamia Haki Madai katika kufikia malengo Makuu ya Dira ya Maendeleo.”