PICHA: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt, Samia Suluhu Hassan Katika Matukio tofautitofauti aliposhiriki Hafla ya kupokea Tuzo ya “THE GATES GOALKEEPER AWARD” jijini Dar es salaam leo Februari 4, 2025.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akipokea Tuzo ya “THE GATES GOALKEEPER AWARD” kwenye hafla iliyofanyika Hotel ya Hyatt Regency Dar es salaam leo February 4, 2025.

 

TANESCO huduma kwa Wateja hatufanyi vizuri - Dkt. Biteko
Sensa ya uzalishaji wa Viwanda kufanyika Nchini