Klabu ya Coastal Union imeendelea kujiendesha kisasa baada ya kufanya mabadiliko kwenye idara mbalimbali. Siku chache zilizopita Uongozi wa klabu hiyo ulitangaza nafasi mbalimbali za kazi kuanzia upande wa masoko,maafisa habari na idara nyingine za utendaji.Kwa sasa imetangaza uhitaji wa Huduma ya chakula kutoka nje ya Kambi na wamewapa nafasi wadau na wamiliki wa migahawa mkoa wa Tanga kutuma maombi ya Zabuni .

Hili hapa ni Tangazo la Zabuni

 

JERRY MURO: Hili jambo halimuhusu Ali Kamwe tunamtaka Eng.Hersi atupe maelezo
CAG apongeza kasi ujenzi wa Uwanja wa Ndege Msalato