PICHA: Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi – CCM, na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan Katika Matukio tofauti ya Picha aliposhiriki Maadhimisho ya Miaka 48 ya CCM yaliyofanyika Uwanja wa Jamhuri Mkoani Dodoma leo Februari 5, 2025.