Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa pamoja wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).

Mkutano huo unafanyika katika ukumbi wa Kikwete, Ikulu Jijini Dar es Salaam hii leo Februari 8, 2025 ambapo pamoja na mambo mengine unajadili hali ya ulinzi na usalama Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, (DRC).

Mradi wa TACTICS kwa miji 12 kukamilika Februari
Habari kuu kwenye Magazeti ya leo Februari 8, 2025