Jina langu ni Moses kutokea Kagera, katika maisha yangu nilifanikiwa kupata mwanamke ambaye niliishi nae, na tulibahatika kupata mtoto mmoja na maisha yaliendelea lakini kuna wakati ulifika kulingana na utafutaji, mimi na mwanamke wangu ilibidi tutengane.
Tukawa tumetengana kimaisha ila kimapenzi tupo pamoja. Mwanaume ilibidi niende huko duniani nikatafute kwa ajili ya familia yangu hasa ukizingatia tayari tuna mtoto.
Ilipita kipindi kama cha mwaka mmoja hivi, tukiwa mbali bila ya kuonana wala kukutana mpaka nilipokuja kurudi nikiwa na lengo la kuja kuichukua familia yangu tukaishi pamoja huko nilipokuwa natafuta maana tayari nimepata sio haba tena.
Sasa niliporudi nyumbani, kuna kitu nilikikuta. Ni kitu cha tofauti kwa mwanamke wangu. Nilimkuta ni mjamzito, niliumia sana, hakuna namna naweza kuelezea nikaeleweka.
Inauma sana, yaani nimemkuta mke wangu ana ujauzito wa mwanaume mwingine na aliyempatia huo ujauzito amemkataa. Yaani kwa kiufupi hana muelekeo tena wa maisha na amejaribu sana kutoa hiyo mimba ili nisifahamu chochote kilichotokea lakini imeshindikana.
Jambo hilo lilinipa sana mawazo na maswali mengi?, nimsamehe na turudi kuishi pamoja kama mwanzo?, je,ana stahili msamaha wangu?nikirudiana nae nitakuwa sahihi?.
Kwakuwa tayari labda ana mtoto wangu wa kwanza, je tufiche na hii tufanye ya kwangu watu wasijue huko tunakohamia?, Swali jingine nalojiuliza, Je,nikilea mimba siyo yangu, huko mbeleni baba wa mtoto akiamua kumtafuta mtoto wake?
Au nitafute tu mwanamke mwingine nikaanze nae maisha mapya?. Baada ya kujiuliza maswali yote, nilimshirikisha suala hilo rafiki yangu mmoja ambaye aliniambia kosa lilikuwa langu kumuacha mke kwa muda mrefu pekee yake bila ya kumfunga.
Aliniambia nimsamehe mke wangu kisha niende kwa Kiwanga Doctors ili afungwe asiweze tena kutoka nje na hata huyo jamaa aliyempa ujauzito aweze kufukuziwa mbali, yaani asimkumbuke tena.
Nilifanya hivyo na sasa ni mwaka wa sita naishi vizuri na mke wangu na tumeongeza mtoto mwingine ambaye ni wa pili kwetu ila wa kwanza kwake na sijaona dalili zozote za usaliti wala yule jamaa kumtafuta.
Imekuja kubainika kuwa ni watu wengi wamepata tiba ya ndoa zao kupitia dawa za Kiwanga Doctors. Wasiliana nao kwa namba +254 769404965 au tembelea tovuti yao www.kiwangadoctors.com au tuma email kiwangadoctors@gmail.com.