Tanga: Rais Samia azindua Shule ya Sekondari ya Wasichana
6 hours ago
Picha: Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu leo Februari 25, 2025 amezindua Shule ya Sekondari ya Wasichana Mkoa wa Tanga iliyopo Wilaya ya Kilindi ikiwa ni sehemu ya Ziara ya kikazi Mkoani humo.