Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wanafunzi mbalimbali wa Shule za Msingi na Sekondari Muheza Mkoani Tanga wakati wa Uzinduzi wa Usambazaji wa Nishati Safi ya Kupikia leo Februari 27, 2025.

Kesi chapisho la uongo: Dkt. Slaa aachiliwa huru
Rais Samia azindua ugawaji Mitungi ya Gesi kwa Wananchi