Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili Uwanja wa Mkwakwani Tanga kwenye Mkutano wa hadhara na Maelfu ya Wananchi waliofurika uwanjani hapo wakati wa Ziara yake ya kikazi leo Februari 28, 2025.

Mfuko wa Utamaduni waongeza chanzo endelevu cha mapato