Viongozi wa nchi 27 Wanachama wa Umoja wa Ulaya wamekutana jijini Brussels Nchini Ubelgiji, kwenye mkutano wa kilele ambao pia uliangazia mzozo wa Ukraine, kuimarisha na kuridhia kuongeza matumizi ya sekta ya ulinzi.

Mpango huo ulopewa jina la “Fufua nguvu za kijeshi za Ulaya” umeidhinishwa baada ya wiki kadhaa za mkanganyiko wa nchi za Ulaya, juu ya mahusiano kati ya kanda hiyo na mshirika wao wa jadi, Marekani.

Ulaya inahofia kitisho cha Urusi tangu utawala mpya wa Rais Donald Trump ulipoonesha dalili ya kutowatunga mkono washirika.

Tutaendelea kuengeneza sera rafiki kuvutia Wawekezaji sekta ya Mauta na Gesi asilia - Shirima
Sillo atoa Mifuko 100 ya Saruji ujenzi Zahanati ya GidabagharÂ