Naitwa Queen, mimi ni binti wa miaka 32, sijaolewa ila niko kwenye mahusiano na kaka mmoja ambaye ni mume wa mtu lakini nilikuwa naye kwenye mahusiano mimi kwanza ila lilipokuja suala la ndoa wazazi wake walimlazimisha kuoa mwanamke mwingine wa kabila lao.

Aliniambia kuwa amemuoa huyo mwanamke ili kuwaridhisha wazazi wake lakini ananipenda mimi. Kweli alikuwa ananipenda mimi, pamoja na kumuoa huyo binti lakini bado aliendeleza mahusiano na mimi.

Mimi nafanya kazi lakini alinipangishia nyumba nzima tena kubwa kuliko aliyokuwa akiishi na mke wake, akawa anafanya kila kitu kwangu kuanzia kula, kufuliwa, kutoka out na kila kitu huku kwa mke wake akienda kulala tu.

Mke wake alikuwa ananisumbua kunipigia simu na kunitukana lakini sikujali. Nilichojua ni kuwa mwanaume alikuwa ananipenda mimi kuliko yeye na yeye ni mke wa wazazi.

Alikuja mpaka kwetu kujitambulisha ingawa sikuwaambia wazazi wangu kuwa huyu mwanaume amekwisha oa. Katika kipindi hicho nilibeba mimba yake, lakini alinishauri nitoe kwani mke wake naye ana mimba hataki kuwaudhi wazazi wake.
Nilitoa mimba yake kwa shingo upande, mke alipojifungua nilibeba mimba nyingine ila nayo akaniambia nitoe, sikumuelewa lakini sijui nini kilitokea mimba ikatoka.

Tuliendelea kuishi huku kila siku nikigombana na mke wake, kila wakati nikigombana na mke wake hata kama mimi ndiyo nilikuwa na kosa basi alimlazimisha mkewe kuniomba msamaha.

Nilikuwa na uhuru naye, napiga simu muda wowote ninaotaka na nikitaka kwenda kwake naenda. Mke wake alishitaki kwa wazazi wake ila haikusaidia kwani aliambulia kipigo.

Kila siku aliniambia kuwa ananipenda na anachosubiri ni mtoto akue atafuta sababu ya kumuacha mke wake, lakini hilo halikutokea kwani mwaka jana mke wake alijifungua mtoto wa pili.

Kuona hivyo na mimi nilibeba mimba yake nyingine ambayo nayo alinilazimisha niitoe, sikua na namna zaidi ya kuitoa. Lakini mke wake mtoto akiwa na miezi saba tu alibeba mimba ya tatu, nilipomuuliza mwanaume alianza kuwa mkali, tofauti na mwanzo aliniambia nisimpangie namna ya kuishi na mke wake na kama nimemchoka nimuache.

Nilikuwa bado nampenda hivyo nilimuomba msamaha lakini lengo langu lilikuwa ni kubeba mimba ambayo sikumuambia mpaka ilipokuwa kubwa. Mwanaume alipaniki na kuniambia nitoe ila niligoma, ilikuwa ni mimba yake ya nne.

Niligoma kuitoa mimba yake na nilipokaribia kujifungua akakata mawasiliano. Ameniblock namba zote na kila siku ana kazi ya kumpost mke wake Instagram na kusifia ndoa yake.

Kutokana nilikuwa nampenda huyu mwanaume, niliamua kwenda kwa Kiwanga Doctors ambapo nilifanyiwa kile kinachoitwa find lost lover spell kwa ajili ya kufufua mapenzi yaliyokufa.

Ilinibidi tu kufanya hivyo kwa sababu aliniaminisha ananipenda kwani alikuwa na wivu sana na mimi. Alinipangishia nyumba nzima akanifanya mpaka kuacha kazi kwa sababu ya wivu wake akinikataza hata kuongea na wanaume wengine lakini leo kabadilika. Siwezi kukubali.

Haikupita muda mrefu alirudi kwangu na kukuta nimeshajifungua na alifurahia sana kumuona mtoto wake ingawa mwanzo alikataa kabisa kuzaa naye. Basi wasiliana na Kiwanga Doctors kwa namba +254 116 469840 au tembelea tovuti yao.

Chatu wazua taharuki Katavi, Wananchi waomba msaada
Ukuzaji wa mapato: TRA Kibaha yaendeleza utoaji elimu kwa mlipa kodi