Malkia wa filamu Bongo, Wema Sepetu ameamua kuuanza mwaka 2017 kwa kufuta picha zake kwenye mtandao wa Istagram wenye wafuasi (followers) millioni 2.5, sababu hajajulikana mara moja.
Future ameungana na Wema Sepetu kwa kuamua kuanza mwaka mpya wa 2017 kwa kufuta picha zote kwenye mtandao wa Instagram.
Akaunti ya rapper huyo ina wafuasi (followers) wapatao milioni 8.7, huku akiwa amemfollow mtu mmoja pekee ambaye ni Dj Esco.