Makonda ataja mtandao mpana dawa za kulevya, …aitwa bungeni Dodoma, Maskini wema, sasa si wakutoka leo, Magufuli amtumbua Naibu Katibu Mkuu, …hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Februari 9, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Chris Kika kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

JPM amtumbua katibu tume ya mipango wizara ya fedha
Chadema wang'aka, wataka viongozi wao waachiwe na jeshi la polisi