Waziri wa mambo ya ndani ya nchi, Mwigulu Nchemba amesema vita ya madawa ya kulevya ni vita ya watanzania na haijaanza sasa, hivyo amewataka Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kushiriki katika vita hiyo ikiwa ni pamoja na kutoa mawazo ya jinsi ya kukabiliana na vita hiyo.

Waziri Mwigulu amesema hakuwa kimya katika sakata hilo kama wengi walivyokuwa wakisema, amesema tayari hadi sasa ameshazunguka mikoa karibia yote na ametoa maagizo makuu matano ya kufanyia kazi ambapo agizo kuu ni vita dhidi ya madawa ya kulevya.

Video: Job Ndugai-Tukienda kibabe namna hii tutavuruga nchi
Bavicha waungurumu kuhusu Mbowe, wasema anapigwa vita ya kiuchumi