Aliyekuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa Yanga, Hans van der Pluijm amejiunga na Singida United kwa mkataba wa miaka miwili katika nafasi ya kocha mkuu.
Singida United imepanda daraja hadi Ligi Kuu Bara, na itaanza kuonyesha yake msimu ujao na tayari imeanza kufanya usajili.