Mauaji ya kutisha, Polisi saba wauawa, ni katika muendelezo wa mauaji katika vijiji vya wilaya za Kibiti na Ruviji yaliyolenga zaidi wenyeviti wa vijiji na Polisi…, Ripoti ya CAG yaleyale, Halmashauri zabanwa kuhusu ajira mpya…, hizo ni moja ya habari zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Aprili 14, 2017. Ungana na Dar24 Magazeti kila siku asubuhi kufahamu yote yaliyojili kwenye magazeti ya Tanzania, ambapo Nuru Mbilinyi kwenye video hapa amekusomea habari zote kubwa za leo #USIPITWE

Samia Suluhu awatwisha zigo viongozi wa mikoa ya nyanda za juu kusini
Magazeti ya Tanzania leo Aprili 14, 2017