Makonda aibua upya vita dawa za kulevya, Kitimtim mnada jengo la Yanga, uongozi wakiri kudaiwa mamilioni, wasimulia yote ya nyuma ya pazia, lema amshauri JPM kuruhusu maandamano, Aliyeishi na upovu miaka 20 aona akiwa uzeeni…, Hizo ni moja ya habari kubwa zilizopewa kipaumbele katika magazeti ya Tanzania leo Agosti 18, 2017. Tazama video

?LIVE BREAKING: Watoto watatu wa Lucky Vicent warejea nchini kutoka Marekani
Mbivu ama mbichi jengo la Yanga, mnada kufanyika kesho