Video: Waliouza Airtel wakalia kaa la moto, Chadema yajitosa Singida Kaskazini
7 years agoComments Off on Video: Waliouza Airtel wakalia kaa la moto, Chadema yajitosa Singida Kaskazini
Waliouza Airtel wakalia kaa la moto, JPM aagiza kuchunguzwa kwa waliohusika, awanyoshea kidole wanaosambaza takwimu za kupika, Chadema yajitosa Singida Kaskazini, Ajali yaua saba, 12 wajeruhiwa…, Bofya kutazama habari zote zilizopewa uzito katika magazeti ya Tanzania leo Desemba 21, 2017