Maswali msamaha wa Mbunge Sugu, yeye asema alifungwa kwa utata na ametoka kwa utata, magereza yasema kilichomtoa ni msamaha wa Rais, wanafunzi wa diploma sasa kupewa mikopo, Serikali yamwaga ajira mpya kada ya afya, JPM aagiza watendaji idara ya za maji, ardhi kuripoti wizarani, Babu atimiza azima ya kujiua…, Bofya kutazama habari zote zilizopewa uzito katika Magazeti ya Tanzania leo Mei 11, 2018.