Klabu ya Real Madrid imetwaa kikombe cha Ligi ya Mabingwa barani Ulaya mara baada ya kuilaza Liverpool kwa goli 3-1 katika fainali iliyofanyika jijini Kiev nchini Ukrine.

 

Mohamed Salah shakani kucheza kombe la dunia
972.7 Milioni zakusanywa kwa makosa ya usalama barabarani