7 years agoComments Off on Rais Magufuli afanya uteuzi mwingine
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli amemteua CAG Mstaafu, Ludovick Utouh kuwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Uhamasishaji Uwazi na Uwajibikaji katika Rasilimali za Madini, Mafuta na gesi Asilia Tanzania.