Ajali mbaya imetokea katika eneo la Mbalizi mkoani Mbeya ikuhusisha Hiace tatu za abiria na Lori kubwa lilobeba kontena, Hiace mbili watu wanetolewa huku moja bado imelaliwa na lori hilo.
Bado hakuna taarifa kamili kuhusu hali ya abiria hao, endelea kuwa nasi kwa taarifa zaidi.
#Dar24Upsets