LIVE IKULU: Rais Dkt. Magufuli akigawa hati za viwanja kwa mabalozi
6 years agoComments Off on LIVE IKULU: Rais Dkt. Magufuli akigawa hati za viwanja kwa mabalozi
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli anagawa hati za viwanja kwa mabalozi kutoka nchi mbalimbali, ambapo viwanja hivyo viko jijini Dodoma.