Je, unawafahamu viumbe wenye sumu kali zaidi duniani?.

Basi Dar24 Media kupitia kipindi chake cha ZAIDI imekuletea viumbe wenye sumu kali zaidi duniani ambao wanaweza kupoteza maisha ya binadamu ndani ya dakika chache.

Wanyama hawa si rafiki kwa binadamu hivyo inashauriwa ukikutana nao kaa mbali.

Bofya hapa kuwafahamu viumbe hawa hatari zaidi duniani, kisha dondosha komenti yako.

Video: Waziri Ummy atoa agizo kwa waajiri kuhusu mama anayenyonyesha
Lowassa kutoa baraka kwa Freddy kugombea Monduli