Video: Zitto avaana na Nape…, Chadema yaja na uamuzi mgumu
6 years agoComments Off on Video: Zitto avaana na Nape…, Chadema yaja na uamuzi mgumu
Zitto Kabwe avaana na Nape, Bashe Mtandaoni, Chadema yaja na uamuzi mgumu, CCM yatamba kusafisha upepo wa Lowasa, yakiri ubunge Buyungu ilishinda kwa tabu, Bei Saruji kote nchini haishikiki…, Bonyeza hapa kutazama habari zilizopewa uzito katika magazeti ya leo Agosti 14, 2018.