6 years agoComments Off on LIVE: Uzinduzi Tamasha la Urithi Festival
Fuatilia hapa moja kwa moja kutoka viwanja vya Jamhuri Dodoma, Makamu wa Rais Samia Suluhu ambaye ni mgeni rasmi akihutubia katika hafla ya uzinduzi wa tamasha la Urithi ambalo limeanzishwa rasmi mwaka huu na kutarajiwa kufanyika kila mwaka mwezi Septemba.