Baada ya maisha ya ndoa kwa mwaka mmoja na kufanikiwa kupata mtoto mmoja rapper Cardi B ameweka wazi kufikia mwisho wa mahusiano yake na Offset,aliyefunga naye ndoa september 20 2017 na kubahatika kupata mtoto mmoja Kulture mwezi Julai mwaka huu.

Kwenye video ya dakika moja katika ukurasa wake wa Instagram Cardi B amesema kuwa sababu kubwa iliyopelea kuachana na mumewe huyo ni hali ya kutokuwa na maelewano kwa muda mrefu, lakini akaongeza kuwa atabaki kuwa baba wa mtoto wake.

Aidha, rapper huyo amesema hatamchukia Offset atampenda pia amekuwa ni mtu mzuri kwake kwenye biashara na amekuwa akijaribu kutatua matatizo yaliopo kati yao lakini imeshindikana.

https://youtu.be/hcokdP6EbZw

 

 

 

 

 

 

Serikali yatangaza neema ya dawa hospitalini
CCM yalia na mitandao ya kijamii 'Msituvuruge'