Chama cha ACT Wazalendo kimesema kuwa iwapo Serikali itaendelea na msimamo wake wa kuzima laini zote ikiwemo za wananchi ambao hawajapata vitambulisho vya uraia, kitenda kupinga hatua hiyo Mahakamani.

Katibu wa itikadi na uenezi wa chama hicho, Ado Shaibu amesema watuchukua uamuzi huo kwani wanaamini kuwa wananchi hawapaswi kuadhibiwa kwa makosa ya NIDA kushindwa kuwapatia vitambulisho ambavyo vitawawezesha kusajili laini zao…, Bofya hapa kutazama.

Prof. Lipumba kuandika barua kwa Magufuli, msafara wake wazuiwa
Waasi watumia ndege zisizo na rubani kushambulia wanajeshi Yemen

Comments

comments