kulingana na chombo cha Wapiganaji wa Somalia al-Shabab wamesema kuwa ndio waliopanga njama za mauaji ya afisa mkuu wa usalama aliyeuawa na mlinzi wake habari cha Reuters.

aea

Abdiweli Ibrahim Mohammed, mkuu wa usalama wa jimbo la kati ya Shebelle nchini Somalia alipgwa risasi hapo jana katika mji wa Jowhar takriban kilomita 90 kaskazini mwa mji mkuu wa Mogadishu.

”Muuaji wake alitoroka ,tunamtafuta”,alisema Ahmed Mohamud,akiongezea kuwa walinzi wake walijeruhiwa katika ufyatulianaji huo wa risasi.

Kitila Mkumbo: Tuna tatizo katika pande zote za siasa
Watu 80 wauawa na radi nchini India