Albam mpya ya nyota wa muziki wa R&B kutoka Marekani Christopher Maurice Brown maarufu kama Chris Brown inayoitwa ‘Heartbreak On A Full Moon’ imeweka rekodi ya kuwa albamu yake ya 7 kushika namba moja katika chati za Billboard yaani ‘R&B/Hip-Hop Albums Chart’.

Rekodi hiyo inamfanya Chris Brown kuwa msanii wa muziki wa R&B mwenye albam nyingi zilizoshika namba moja katika cha hizo.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram Breezy ameweka ujumbe unaoonyesha furaha yake kuweza kufikia mafanikio hayo ya albam yake mpya yenye jumla ya nyimbo 45.

TFF yathibitisha kumkosa Mbwana Samatta
TFDA yazifutia usajili dawa zenye madhara kwa binadamu