Hatimaye Baraza la Sanaa Tanzania (BASATA) limeufungia rasmi wimbo wa Roma Mkatoliki unaoitwa ‘Viva’.

Baraza hilo limeeleza kuwa limechukua uamuzi huo baada ya kubaini kuwa maneno yaliyoimbwa kwenye wimbo huo hayana ushahidi.

Roma ametumia akaunti yake ya Instagram kutoa mtazamo wake kuhusu hatua zilizochukuliwa na BASATA.

“Life is Not Fair!!!!!! TUNAKUFA MASIKINI KWA KUWATETEA WANYANG’ANYI!!!!!!!!!! Eee Mungu

Baba Wa Mbinguni

Nisaidie!!! #Democracy

#Politics

#Justice

#Freedom

#ViVaROMAViVa

#ViVaROMAViVa

#ViVaROMAViVa”

Kumekucha: Lowassa, Magufuli Waanza Kutajana
Nay Wa Mitego Amvaa Rasmi January Makamba Kuitetea Ukawa