Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ameachia trailer ya filamu yake mpya inayotarajiwa kutoka rasmi  Novemba 9 mwaka huu.

Filamu hiyo ambayo haijafahamika inahusu nini hasa japo imejaa matukio ya mpira na maisha, inamshirikisha mama yake mzazi, mtoto wake pamoja na marafiki zake.

Watayarishaji wa filamu hiyo ni kampuni ya Universal Studios.

Ronaldo

FIFA Yamuadhibu Jack Warner
Carragher Amvisha Taji Daniel Sturridge