Trailer ya mpya ya James Bond inayosubiriwa kwa hamu iliyopewa jina la ‘Spectre’ imewekwa mtandaoni jana (Oktoba 2), hivyo kuongeza kiu ya mashabiki hao kwa jinsi inavyoonekana.

Trailer hiyo iliyowekwa mtandaoni na kampuni ya Sony Pictures Entertainment, inaonesha matukio kadhaa ya kiharifu na mapambano ya kutumia silaha kati ya James Bond na wabaya wake. Hii ni trailer ya mwisho kutoka kwenye filamu hiyo na inaonesha matuki mengi zaidi ya vipande vilivyowahi kutolewa.


‘Spectre imepangwa kutoka rasmi Novemba 9 mwaka huu.

 

NEC Yapiga Marufuku NCCR-Mageuzi, CUF Kusimamia Kura Za Lowassa
Mrisho Mpoto Aeleza Faida Anazopata Kwa Kutembea Peku