Vanessa Mdee ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Never Ever’ iliyoongozwa na Justin Campos, Afrika Kusini.

Audio ya wimbo huo imefanywa na Nahreel kutoka The Industry. Vanessa ni Mshindi wa tuzo ya AFRIMMA 2015, kama msanii bora wa kike Afrika Mashariki.

Anna Mghwira: Wapinzani Tusinangane
Bado Alama 9, Hamilton Kuwa Bingwa Wa dunia