Klabu ya  Arsenal inapanga mkakati wa kumfukuzia beki kinda wa Chelsea, Ola Aina.

Habari zilizosambaa ndani ya klabu hiyo ya Emirates zinaeleza kwamba kinda hiyo huyo mwenye umri wa miaka 19 ndiye anayeonekana kuwa mbadala wa beki wao Mathieu Debuchy ambaye mwezi huu anatarajiwa kuondoka.

Debuchy kwa sasa amepoteza nafasi yake kwa Hector Bellerin na Mfaransa huyo ameshakiri akisema kuwa anatarajia kuondoka kipindi atakapopona majeraha.

Man City Kuikosa Huduma Ya Pablo Zabaleta
Southampton Watepeta Kwa Graziano Pelle